TanzaniaChat inakupa fursa ya kujiingizia kipato cha hadi TZS 50,000 au zaidi kwa siku kwa kuwafundisha wageni Kiswahili, Kuzungumza nao, na kuwasaidia kuelewa lugha na tamaduni za Tanzania kupitia mawasiliano ya moja kwa moja ndani ya site ya Tanzaniachat.
Jukwaa rasmi la kuchati na watu kutoka nchi mbalimbali (chat with foreigners) na kukutana na watu wapya mtandaoni (meet new people online).
Kwa kuendelea, unathibitisha kuwa una miaka 18 au zaidi na unakubali kutumia TanzaniaChat kwa kufuata masharti yake.